Kiswahili

  

Kiswahili ni somo ambalo linazingatiwa sana katika shule ya Uhuru Gardens. Wanafunzi katika wiwango vyote hujufunza kama somo.

Kiswahili husisitizwa kwa kuwa ni lugha ya kitaifa. Pia hutainiwa katika mtihani wa K.C.P.E. Shule hii ina changamoto katika somo hili. Hatuna walimu wa kutosha na pia wanfunzi wengi huathiriwa na lugha ya mama na sheng. Wanafunzi wengi hutoka katika mitaa ya mabanda kama Kibera, southlands na kware kule Rongai. Kwa hivyo lugha wanayotumia ni ‘sheng’.

Home

Uhuru Gardens Primary School is a mixed day public school. It is located along Langata Road opposite Langata Hospital separated by Kitengela road.

read more